Meeting Register Page

Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani
Mtandao wa Vikundi vya Wakulima Tanzania (MVIWATA) unakukaribisha kushiriki maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani ambapo kutakuwa na mjadala kwa njia ya mtandao utakaojikita kwenye Maada ifuatayo " Katika kupambana ubepari na mfumo dume, Kinga ni ufeministi na mshikamano.

Mar 8, 2021 03:00 PM in Nairobi

Loading
* Required information